Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
na wakaka nao waangalie ipi?? ujue hapo pande zote mbili zinahusika!!!
Mi Bht naongelewa wale ambao wana-match na kuweza kufanya serious rlsh.
We unachoongelea hapa ni wakaka waliokosa dira za maisha / wanaoiga maisha ya juu na hawana means ya kufika, hivyo wanatafuta masugar mummy.Mara nyingi huwa hakuna ndoa hapo.
Lakini kwenu nyie wanawake huwa mnafeki mpaka na ndoa mnafunga kabisa.
Wabinti wangapi wakibongo wanamilikiwa na vibabu vya kizungu??
Mwezi uliopita nilikua benki moja ya kanda ya ziwa, ebana usimpimie mtu kivile.
Vijana wadogo wadogo wanaingia na mifuko ya rambo na KUWEKA (si kuchukua apo) mahela mpaka nilichanganyikiwa.
Nyie akina dada msiwadharau wa mikoani, kuna watu wanamiliki Lexas benki na hawasemi, mnakosaga bahati ivi ivi.
ndo maana nikasema kuna 'mapenzi' driven by material things (wanawake na wanaume vile vile) mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu ya 'kitu'.
hata wanaume wa bomgo wangapi 'wameolewa' na vibibi vya kizungu...njoo samora uone bana aaah!!!
Sa 'material things' ndo yapo dar na mamtoni tu? kwanini hata ww apo kwa mfano nikukutajia nipo Rukwa hutanithamini? mapenzi huwa yanakwenda wapi gafla??
nini rukwa hata mkululu we sema! kama nakufeel nakufeel tu!! as far as utakidi viwango
all in all simpendi mtu kwa mali anazomiliki....
kwa nini? vile nina mapenzi ya dhati au???Temea mate chini bht.
Mi Bht naongelewa wale ambao wana-match na kuweza kufanya serious rlsh.
We unachoongelea hapa ni wakaka waliokosa dira za maisha / wanaoiga maisha ya juu na hawana means ya kufika, hivyo wanatafuta masugar mummy.Mara nyingi huwa hakuna ndoa hapo.
Lakini kwenu nyie wanawake huwa mnafeki mpaka na ndoa mnafunga kabisa.
Wabinti wangapi wakibongo wanamilikiwa na vibabu vya kizungu??
Ze semu tu yu.
Hiyo ya shinyanga imenikumbusha kitu,kuna mmoja mwezi uliopita alinikimbia baada ya kumwambia niko Shinyanga,, isije ikawa ni ww Lizy!!
Kwa asilimia kubwa ni wanawake, sisi labda tu ukiwa na intension ya kutafuta sugar mamy.
very true na mi nakugongea!!! hawa viumbe wa Mungu ni ngumu kuwaelewa. naona wao ndo wanapenda zaidi mapenzi ya kudanganywa!!! aki at times siwalaumu wanawake wanaowafix mamen!!! ukichunguza wengi wao walishaumizwaga sasa wanaona liwalo na liwe!!!
[/B]
Hakuna kufeki wala nini, mapenzi vile vile hayana umri, vibabu vya kizungu vinalea na wanamapenzi ya kweli.
Anyway kuhusu kudanganya online kila mtu ana danganya wewe mwanaume unaongopa kwamba upo majuu kumbe upo madongo kuinama, hata mdada anadanganya kumbe yupo uchochoroni tu huko. Hivyo usitegemee kupata penzi la dhati kutoka online.
Mimi huwa nafawanyia research hawa viumbe kwenye mitandao mbalimbali ya urafiki na uchumba.
Mwanzoni tunachati fresh tu, linapokuja swala la kutaja sehemu nilipo, ndo hapo ninapowachezeaga akili hawa dada zetu.
Mara nyingi nikiwaambia niko mamtoni nachukua nondoz au napiga mgalala/box, basi maongozi yanakwenda vizuri mpaka kufikia mikakati ya kupanga engejimenti na harusi.
Asilimia kubwa pia huendelea kuchati nami, iwapo nitawaambia niko Dar, na niko kwenye ofisi flan kubwa hapa mjini.
Usilongwe ukawaambia ukweli hawa viumbe, kuwa uko Tandahimba,Ukwale au mikoani huko hasa ya pembezoni, hupotea ghafla na namba za simu hubadilishwa.
Hivi nyie akina dada, fedha na kazi ni kitu gani hasa mpaka mvipapatikie kiasi hicho?
Hivi huwezi ukaanza maisha na mwenza wako kwa kulalia mkeka kwanza?
Hamuoni fahari kuanza maisha from the grass root na mwenza wako?
Hivi mke wa Obama alijua mmewe atakua rais, ndo akamkubali fasta?
Mpenzi Pretty si kila mtu anadanganya kuna wengine wanasema ukweli kabisa, kuhusu wapi walipo lakini bado wanatapeliwa kwa binti kujifanya ametulia kupita kiasi na ana adabu tele kumbe ni kiruka njia tu.
Na wa kaka hivo hivyo.
Hata hapa JF atakuuliza hivi upo wapi Dada, ukisema ukweli kwamba Upo Tanzania Shinyanga, ndo utakuwa umeua mawasiliano Hupati tena cha PM, thanks wala nini. Ila ukisema upo nje ya nchi hasa US na Europe hapo kitaeleweka, na kwa Tanzania at leaaaaaaast Dar, nje ya Dar forget it.
So its not abt Wadada peke yao, na Wakaka mna/wana tatizo hilo.
Kabla sijasahau....Happy New year 2010.