hakika we ni wakupumuliwa, mwanaume hasifiwi lips bali cashflow. Kwa mfano mimi ni jitu jeusi, chogo kuuubwaaa, mfupi, lakini daily najimegea tumiss tena first class au we unazungumzia vitoto vya jk
Nimekuwa nikisifiwa na akina dada eti nina lips nzuri, na wengine huwa wanataka just to make up with me, huwa ninashangaa hivi ni kweli au wanakuwa wamenizimia? Kwa upande wetu sisi wanaume ni kweli lips za akina dada huwa zinatupagawisha sometimes. Je akina dada's ni kweli huwa mnazimikia lips zetu pia?
Angalizo...... Kwa wanaume sio lazima kuchangia maana hamuna idea yoyote na lips zetu kwa hio muipotezee hii post, najua mtaishia kunirushia makombora ila ndo hivo tena mwenzenu napendwa.
ha ha ha hahaaaaaaaaaa bora mimi sijasema!
Acha uongo wewe, unawapenda sana