Akina dada's, eti huwa mnapenda lips zetu?

yani umejipinda kutuma post ukaiona ndo ya maaaaaaaaaaana kumbe aaghaaaaa.rubbish
 
thubutuuu! Lips nzuri afu acount ina shiling ishirini ntakula lips??we vipi? Mwanaume hardworker,mtanashati and ofcoz mwenye cash ndo mpango mzima habari za wapaka lip shine na powder pelekeni huko huko kwa wanafunzi wenzenu!

duh.. we dada huna huruma na ela za watu.!!? Hata hivyo ukiwa kweli mzuri ntakupa na ata atm card yangu utatembea nayo lakini unakutana na nungaembe flani afu stil linakupiga mzinga bila ata aibu.. $@ &% ©* go to hel
 
I love u jestina, I hope u will fall in love with me when u will see my lips
hahahhah Typhod kajitahiiiiiiiiiiiiiiiiidi kuleta topic ya maana ndio kaleta hii,khaaa wewe ni uko under 20....unatusumbua wazee na tumada twako twa kitoto.
 
hakika we ni wakupumuliwa, mwanaume hasifiwi lips bali cashflow. Kwa mfano mimi ni jitu jeusi, chogo kuuubwaaa, mfupi, lakini daily najimegea tumiss tena first class au we unazungumzia vitoto vya jk

teeh! teeh! Naungana na ww kwa 1000% kama zipo!!
 
Wanamme wenye akili ya mwanamme ni sexy zaidi kuliko wenye lips kama za Angelina Jolie.

Kongosho we Kongosho. Unakumbuka kule ndio sababu kumbe ukanasa baada ya wiki moja tu. kazi qeliqeli
 
Ha ha ha Bazazi, huu utani ntakumwagia tindikali.

Kongosho we Kongosho. Unakumbuka kule ndio sababu kumbe ukanasa baada ya wiki moja tu. kazi qeliqeli
 
Last edited by a moderator:
Utawatambua kwa matendo na maneno yao. Mashoga huwa hawajifichi.... Source: ODM.
 
Kwanini wanaume tuna wivu hivi? Hamtaki kusikia mwenzio anasifiwa? Eti shoga? Kazi kweli kweli
Utawatambua kwa matendo na maneno yao. Mashoga huwa hawajifichi.... Source: ODM.
 
That is the point...girls are giving me credits on my lips, telling me lick theirs, this is so strange for me.
Lips zikiwa kissable tu inatosha. . mambo ya kuwa sexy and what not hayahusu kwa mwanaume.

Alafu hao wadada hua wanakuambia m'make up' kitu gani?
 
Hacha pumba... Mwanaume hasifiwi lips.. Mwishowe utasifiwa hips
 
Aiseee siku hizi haina haja ya kwenda Maisha kukutana na watoto hata JF wapo na wanalipa kama sredi zao teh teh teh
 
lips? Katika vitu ambavyo huwa sivinoti ni lips......
Enzi hizo nilikuwa naangali
-urefu wako
-mwili wako ulivyojengeka
-how sexy you are....
-tabia
-heshima yako
-dini
-kazi na kadhalika, na kadhalika

lakini kikubwa mfuko wako loh................
 

Eti unavaa vimino or?
 
Ha ha ha Bazazi, huu utani ntakumwagia tindikali.

Hah!!!!! Uonezi huo! Kwa kuwa unajua Bazazi hajai hata Kinganjani ndio sababu unataka kum"SAID KUBENEA". Haya bibie, Ulale Unono na Uote ndoto za Kimalkia na umkumbuke mfalme wako huku ukijiandaa kumtosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…