Akina dada's, eti huwa mnapenda lips zetu?

Nakumbuka kuna dada mmoja aliniambia napenda namna unavyochapa kazi,sasa haya lips kwa mwanaume mh!
 

Unaleta uzi then unaanza kuogoga kivuli chako mwenyewe! Nonsense!
 
Haki zenu hazijakubaliwa na Taifa... usijipoze JF tafadhali.
 
Typhoid weka picha basi watu tujue kama yaliyomo yamo!
 
Lips nene za denda, zanipagawisha mbayaa.
 
Kwanini wanaume tuna wivu hivi? Hamtaki kusikia mwenzio anasifiwa? Eti shoga? Kazi kweli kweli


Mkuu siyo kweli kuwa wanaume tuna wivu na hatupendi wenzetu wasifiwe, watu watakusifia kutokana na jinsi wewe mwenyewe unavyoji-express kwao. Huyo aliyekuita shoga pia amekusifia ila tofauti ni kwamba wewe ulitaka akupe sifa ambayo unaihitaji kutokana na mtazamo wako na sio kutokana na maelezo yako, kwa maelezo uliyoyaweka hiyo ndio sifa unayostahili kwa mtazamo wa mtoaji wa sifa.
Naona ulianza kwa kutaka wadada pekee ndo wachangie lakini tofauti na matarajio yako, wengi wao wanaenda tofauti na ulivyokuwa unataka wewe wakupambe.
 
mwanaume kifua siyo lips bwana kilichojengeka vizuri..siyo too much!!
 
Ungedema kwa kifupi tu, asiwe na capital Y

huwa wanakosa balansi hadi umuwekee miti kama iwekwayo kwenye migomba isianguke, mfano Great Kali.

mwanaume kifua siyo lips bwana kilichojengeka vizuri..siyo too much!!
 
Thanks for ur analysis
 
ah ah kijana lips nzuri zawafaa watoto wa kike katika kypiga tarumbeta...mtoto wa kiume jisifie pesa na mwili uliojengeka hayo mengine masharouha..o ndo wanakaa chini na kusifiana
 
nsivyowapenda wanaume wanaojiparapar, kha, mambo kugombania lip shine na lip balm na anayataka, mie nataka mwaaume siyo mtoto wa kiume lol
 
hakika we ni wakupumuliwa, mwanaume hasifiwi lips bali cashflow. Kwa mfano mimi ni jitu jeusi, chogo kuuubwaaa, mfupi, lakini daily najimegea tumiss tena first class au we unazungumzia vitoto vya jk

:biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…