Akina dada's, eti huwa mnapenda lips zetu?

Jamani acheni uongo. Huyu siyo shoga. Huyu ni trans-sexual. Namfahamu.
 
Umekaaweeeeeeeeeeeh ukaona ujisifie na midomo mipana, haya bwn hongera ila hyo n kwa faida ya mkeo wengne mizinguo
 
Inaonekana waliokusifia wamekugusa kweli' mpk ukapost jf,ila angalia bwana safari moja huanzisha nyngne!
 
mungu wangu kumbe tuko uk na david cameroon kajiunga jf
 
hizo hipsi ina maana ndio wadada wanajiona ni bora zaidia au? kikubwa ni jinsi gani mechi unaweza kuicheza na kujua mchezo ukoje
 
We taifodi wewe,pesa mbele kwanza babangu, ayo ya lipusi ni kibwagizo tu..tho lipusi,n romantic item.
I prefer shekeli..lipusi badae..
Hongera,ila kwa ii thredi,ucwe na hasira,..kuna w2 wanamidomo ova nin cjui teh
 
Hata mimi naona pesa ndo mwanzo mwisho, ila kumbuka wengine tunapendwa ila mfukoni hatuna kitu

ndo mana nkasema una bahati.wachache nwdays wanamind vitu vngne apat to hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…