Hapa kama nchi ingekuwa inafuata utawala wa sheria halafu mkataba uko tight jamaa wangepigiwa mahesabu ya siku zote walizochikichia hela, kutakiwa kuzilipa hizo hela halafu kupigwa mvua kubwa tu kwa sababu ya fraud.
Lakini kwa bongo sitashangaa nikiambiwa kwamba hakuna kesi kwa sababu hawakufanya chochote kilicho nje ya mkataba. Na actually wanaweza hata kui-sue serikali kwa breach of contract, ila wanaona noma issue inaweza ku create bad publicity na washajishibia anyway.
$ 1500 kwa siku kwa stendi kubwa kama ile, miaka yote hiyo? Daaamn, they must be swimming in millions of dollars now. Kama walikuwa wanatengeneza $ 1500 zaidi tu (it si very possible waliwezxa kutengeneza zaidi ya hii) kwa miaka minne watakuwa wamekusanya around $ 2,190,000 saaafi zao.