Akina Mama kushukuru kwa kugalagala chini ni Mila ya Mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Mtwara na Lindi hivyo Kaskazini msiteseke!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa

Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara

Mlale Unono πŸ˜€πŸŒΉ
 
Acha uongo lindi na mtwara hakuna mila iyo ila Lindi wilaya ya ruangwa Kun kikundi cha kinamama na vijana wa ccm kinaitwa galauka kazi yao huwa ndio hiyo kugalagala chini ila sio mila
 
Acha uongo lindi na mtwara hakuna mila iyo ila Lindi Kun kikundi cha kinamama na vijana wa ccm kinaitwa galauka kazi yao huwa ndio hiyo kugalagala chini ila sio mila
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Em weka video tuone huyo Jenister akigala gala,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ninagalagala huku nikicheka (ROFL)
 
Kusini wanaita "kugalauka".
 
Na Kuna Mila wanaume wanapiga Magoti πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ila hako kakipande this time mweshimiwa kama ameweka mapesa huko. Ukienda hiyo mikoa mawaziri wanapishana usiku na mchana... yaani mamiradi kama yote mabomba ya maji umeme yaani sio masihara huwo upande mh Rais anaupiga mwingi jamani... nimeona vijiji hawakuwahi waza kupata maji ila leo mabomba yamepelekwa mama anawatua ndoo wamama wakusini jamani..
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    589.7 KB · Views: 3
Ukisikia mila za kishenzi ndio hizi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…