Ni kweli wakinamama sometimes hawapendani lakini hili la daladala nakataa, utakuta mtu anaona kabisa gari imejaa lakini anapanda hivyo hivyo na mtoto wake/watoto wake. Kunyanyuka siwezi kwani na mimi nakua nimechoka tena nimechoka hasa cha kufanya naweza mpokea mtoto kama ni msafi maana wengine sio wasafi kabisa anapanda na mtoto ananuka mikojo + mchafu hadi kero huyu atanisamehe mwingine anazaa kama anatenda unakuta wa kwanza anamiaka 3, wapili 2, watatu kambeba mgongoni na anapanda daladala lililojaa aku mwenzangu kuna mambo mengine mwatuonea wakinamama kwani wanajitakia wenyewe
Mimi huwa nawapisha lakini nakereka sana.
Kama unaona gari imejaa na una kitumbo kwanini upande?
Au vibabu na vibibi navyo si vitulie majumbani.
Mwingine anapanda na watoto kibao. Nao wajitazame.
Umpishe mwenzio wewe uminywe jamani.
Tunapendana ila tunaanza kuzipenda nafsi zetu kwanza.
Nikupishe kwani mie ndi nilikutuma upande daladala lililojaa ebo!!
nikupishe kwani mie ndi nilikutuma upande daladala lililojaa ebo!!
Yaani kazi kweli kweli unakuta mama au dada kauchubua mama ana mimba tumbo hilo hata kumpisha aaah yeye hana hata time ndo kwanza anajifanya anasinzia
pumba. Kwani hao kina mama wanazaa tu kama bikira maria?
Mkuu kumbe umeona eeh?
Wana roho mbaya sana hawa kwa jinsia yao...
Hata manesi wanakuwa na kauli mbaya sana kwa wanawake wenzao.
Sijui na wa hapa JF wako hivohivo?
Ukweli unabaki pale pale kuwa wanawake hampendani na hii husababisha kutothaminiana ninyi kwa ninyi.
pamadaku.
pamadako.
Kumchukia mtu bila sababu ni ujinga wa asili,hata kama simjui mwanamke kuna tabia hazijifichi,mfano mko kwenye party mtu anaanza ku-behave visivyo sasa mtu kama huyu ukimpa attitude kidogo kama ana akili atashtuka na kujirekebisha,kama haelewi ndo basi tena.
:car:hapo sijaelewa au nije kabisa tueleweshane on a one-to-one basis Rose?
hahah hahahh!!
pole kwnye fone buku yako kuna mngon ata mmoja?basi mwandikie ivo PAMADAKU then u wl c
rudi mirembe utakuwa hujapona wewe, unauliza babuau bibi anaenda wapi? Umenisikitisha san.tatizo watz bado hatuna adabu kabisa