johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alianza Ben haijulikani alipotea au alipotezwa akaibuka Mdude.
Mdude akadhibitiwa kwa tahadhari kubwa sana Lakini akashindikana na amekuwa Sugu zaidi.
Ghafla kaibuka Mwabukusi katika Mfumo uleule wa kutoogopa wala kuendekeza njaa kama tumbili 😂
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 wataibuka akina Mwabukusi wengi na Watagombea Ubunge na Kulinda Kura zao.
Hawa watu hizi ni nyakati zao kama anavyorudi baba yao Trump pale White House.
CCM ienende nao kwa uangalifu na Umakini mkubwa.
Akina Mwabukusi ni zao la Shujaa Magufuli bila kujijua na Matunda ya Tundu Lisu kwa kujitoa muhanga.
Nawatakia Wednesday Njema 😀