Akinisaliti nageuka ghafla na kuwa Vampire!

mmmmmh hayaaaa,ila umejaribu kujiuliza kwanini wanakusaliti? haiwezekani wote wakakusaliti ipo sababu ebu jichunguze au tafuta yule mlomwagana zamani halafu mlokua kama washkaji mulize ivi mapungufu yangu nini? sikuridhishi nilikua au nna mdomo au kuna sehemu nakosea?..
 
Sidhani km yupo anaetosheka huu ndio mwendo wangu na sirudi nyuma.
 
mkuu ipo tatizo kwako au kwao lazima ujue kama ni wao kukusaliti ni hulka zao au na wewe una tatizo linalofanya wakuache..
 
Mungu tusaidie wana
Tumepinda balaa
 
nilijua unabadilika unakua vampire kabisaa...hahahaa
 
Back
Top Bottom