Sidhani km yupo anaetosheka huu ndio mwendo wangu na sirudi nyuma.mmmmmh hayaaaa,ila umejaribu kujiuliza kwanini wanakusaliti? haiwezekani wote wakakusaliti ipo sababu ebu jichunguze au tafuta yule mlomwagana zamani halafu mlokua kama washkaji mulize ivi mapungufu yangu nini? sikuridhishi nilikua au nna mdomo au kuna sehemu nakosea?..
Mkuu wapo wanaotosheka ila hujampata au kuna tatizo ebu jaribu kijiangalia..Sidhani km yupo anaetosheka huu ndio mwendo wangu na sirudi nyuma.