Akionyesha ulimi hivi ana maana gani?

Akionyesha ulimi hivi ana maana gani?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Anamaanisha " wee umeisha..hapa umeisha😂😂😂"

1718052808491.jpg
 
Ulimi uko wapi?Hapo naona mdomo wa juu na chini pamoja na meno.Wabongo mpaka vitu visivyohitaji madesa tunafeli.
 
Ni kahaba,usidanganyike na mwanamke wa hivyo ,ni waovu
 
Back
Top Bottom