Amengata lip na sio ulimi. Anamaanisha shez WET
Shem nishafika 😂😂
Halafu mi ndo tabia yangu kung’ata lips hivyo.!! Kwani inamaanisha nini??
Jirani hiyo kwa mwanaume mbaya.!! Hapo ni kukimbia, mana utalipa nauli yake na chips kavu alizokuagizia.!! 🤣🤣🤣
Akifika hiyo stage hata hizo chipsi hazitamani wala hana haja nazo,Jirani hiyo kwa mwanaume mbaya.!! Hapo ni kukimbia, mana utalipa nauli yake na chips kavu alizokuagizia.!! 🤣🤣🤣
Mbona kila siku unazidi kuuteka moyo wangu shem? Hii dunia hiiShem nishafika 😂😂
Halafu mi ndo tabia yangu kung’ata lips hivyo.!! Kwani inamaanisha nini??
Kizazi hiki hakijui tofauti ya lips za mdomo na ulimi.Mbona mimi sioni ulimi hapo mkuu
Shem “ACHA TAMAA”Mbona kila siku unazidi kuuteka moyo wangu shem? Hii dunia hii
Ukifanya hivyo nauza nyumba yangu nakupa hela zote shem.Shem “ACHA TAMAA”