Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni.
Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha police wanakuja na defender/cruzer na mitutu kuwa lazima mhame. Na kuanzia wakati huo hamtakiwa kamwe kurudi kwenye maeneo yenu ya asili.
Wakuu inauma sana, mimi nashauri ikitokea Rais amepatikana tena toka Tanganyika auze au akodishe sehemu yoyoye ya Zanzibar iwe mji Mkongwe, Kizimkazi, Tumbatu au Chake Chake ili hawa watu nao waone machungu ya dhuluma wanayofanyia wenzao wa bara.
Mwinyi aliacha tatizo Loliondo na sasa ni zamu ya Wamasai wa Ngorongoro