Akipatwa na hofu, tumbo linamuuma, kichefu chefu na anatapika

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Jambo iko wana jf?

Nianze kwa kuwashukuru manake kuna matatizo yangu nliwekaga hapa nkapata ushauri wa tiba mbadala na maoni kibao tu sasa niko poa mpaka najishangaa.

Sasa nina friend wangu jinsia me akipewa taarifa yyte ya kushtua tu au mf. akikutana na mtu anaemdai tu tumbo linamchafuka anatapika na kuharisha.

Majuzi tulienda nae church waliposema wageni wapite mbele kujitambulisha nkashangaa namuona ka change coz kama ameshtuka flani baada ya kukaa nae chini ndo akanieleza matatizo yake kuwa walivyotangaza yeye kusimama tu hapo hapo tumbo likamvuruga na alipotoka nje akaanza kutapika. Kuna mwenye kulijua hili tafadhali.

N.B Najua wapo watakaobeza na kuzani hili ni tatzo langu ila nimeamua kumvisha mshkaji. Please am serious kama una namna ya kushauri karibu kama hujui pita kimya tu
 

Mkuu huyo jamaa yako mwambie awe anafanya mazoezi mazito ya viungo,alafu atibu minyoo,ana minyoo mingi sana.
 
Mkuu huyo jamaa yako mwambie awe anafanya mazoezi mazito ya viungo,alafu atibu minyoo,ana minyoo mingi sana.

maelezo zaidi yanahitajika sana mkuu na dawa gani nzuri kwa hiyo minyoo sugu
 
mmmh nadhani i hav tatizo km hilo ila tofaut ni kuwa mm sitapiki...bt hata bb yangu mzaa mama yupo na ana tatizo km langu....ni hv, mm nikipata mshtuko au taarifa yote mbaya tumbo linauma hapo hapo na lazma nitaenda toilet coz naanza kuendesha ghafla....mf nilipokuwa chuo matokeo yakitoka lazma itokee hvyo..
..nikipata taarifa kuwa ndugu yangu wa karibu mgonjwa au amepata tatizo serious bas lazma initokee...mi nahx nimerith kutoka kwa bb yangu kiukwel ingawa sijui kisayansi ni tatizo gan
 
mimi nikiwa na hofu huwa nabanwa na haja asa sijui hii ikoje
 
Adrenalin can do lot., is normal if its temporary, that is, lasts for short period of time... if prolong seek medical advice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…