AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Asee akipotea huyo sisi raia tutapotea mbaka libaki bunge na serikali kuuMpaka apotee Dula ndama mutoto ya ng'ombe , ndio watashtuka bwashee.
Hapa labda watekwe:Hadi sasa watanzania wote 70m+ tunaamini watu wanapotea wanatekwa ila kuna taasisi na mihimili ya nchi yetu haiamini hata chembe ingwaje viongozi wa taasi na baadhi ya viongoz wamepotea na wengine kutekwa
Kuna wakati huwa wanageukana wao kwa waoccm wastuke?? Wastuke nini? Au sijaelewa swali? kwani watoa order za utekaji ni kina nani kama siyo hao unaotaka wastuke?
acha uzushi na upotoshaji useless kama huo gentleman,Kwa hapa Tanzania inabidi apotee au kutekwa nani ndio CCM na Serikali itaamini na kukiri hadharani kua kweli utekaji na upotevu wa watu upo?
Hadi sasa watanzania wote 70m+ tunaamini watu wanapotea wanatekwa ila kuna taasisi na mihimili ya nchi yetu haiamini hata chembe, ingawaje Viongozi wa Taasisi na baadhi ya Viongozi wamepotea na wengine kutekwa