Pre GE2025 Akishinda Mbowe Chadema itakuwa na fedha bila Wapiga Kura na akishinda Tundu Lissu Chadema itakuwa na Wapiga Kura bila fedha, chaguo ni lako!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa

Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe

CCM this time imewaweka Chadema Katika mazingira magumu Mno 😄

Ahsanteni Sana
 
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza kikapo cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa

Na Bila Tundu Lisu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe

fedha zipo tu cha msingi ni majira ya ushindi kwa tundu lisu
na atashinda kwa kishindo
mbowe atulelee chama tu
 
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza kikapo cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa

Na Bila Tundu Lisu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe

CCM this time imewaweka Chadema Katika mazingira magumu Mno 😄

Ahsanteni Sana
Chadema ilipofikia haiwezi kukosa pesa mkuu za kukiendesha chama ,hata mzee mgaya anajua, ni propaganda za machawa wa Mbowe
 
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa

Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe

CCM this time imewaweka Chadema Katika mazingira magumu Mno 😄

Ahsanteni Sana
Mbowe pesa anatoa wapi,
 
Back
Top Bottom