chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Umama umekuwa sana kwa machawa na mifumo mibovu sana inayopelekea hata CAG au idara nyingine kuonekana zimekosa kazi.
Wasanii na chawa ndio wamekuwa watumishi wa Serikali na wawekezaji wa taifa kuliongoza.
Sasa Profesa Kabudi kaona na yeye kuchukua nafasi za singeli sababu sanaa inalipa kwa mama.