Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Ukatili mwingine mnawatengenezea nyie banaa. Imagine HG anakuwa treated kama dog. Na wao wana feelings ati. Mwanadamu hasa mwanamke ukimpa chochote, anakimultiply. Ukimpa shit,tegemea tons of it in return!Ila hao wana roho za kikatili tu
Ni kwasababu mother house anaweza kuosha vyombo mara moja ndani ya miezi sita lakini dada hii ni moja ya daily routine za job descriptionInategemea lakini...
Mother house anaweza vunja ndani ya miezi 6 mara moja tu...
Ila mdada wa kazi mwezi tu vyombo vyote vimekwisha...
Cc: mahondaw
hahahaaa mashangazi wanakoma aisee, naambiwaga kichwa kama cha shangazi yako.Mimi nakumbuka watoto tukivunja makusudi piah Dada akivunja makusudi mama akivunja bahati mbaya alafu watoto tunaambiwa mkamwambie shangazi yenu alipeee jaman
Ila siyo mbaya wanatufundisha kuwa makini siku nyingine.
Yani basi tu kila kitu mashangazi sijui kwanini?hahahaaa mashangazi wanakoma aisee, naambiwaga kichwa kama cha shangazi yako.