heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Tuzo kubwa za MTV EUROPE zimewadia na Mtanzania Diamond platnumz ameteuliwa, kuwania kipengele cha mwanmziki bora wa Afrika/,kama utakumbuka za mwanzo zilikuwa ni tuzo za Mtv kwa aAfrika pekee.
Kuteuliwa huko kumekuja wakati tayari yupo nominated kwenye Tuzo zingine mbili za kimatifa, #IRAWMA za nchini MAREKANI NA CHANNEL O ZA Africa kusini akiwa nominated kwenye category 4.
MTV EUROPE anapambana na Davido,Goldfish wa afrika kusini na Toofan wa Togo
Mungu Mbaliki diamond,Bariki Bongo fleva na Tanzania.
kwa kiwangu cha hali ya juu,diamond ameonesha nini maana ya artist to work hard, Tanzania tumekuwa tukibeza mafanikio ambayo hatujayazoea, tulizoea kuwa watu wa kuachwa mbali kwa muda mrefu,si katika soka,ngumi,riadha na michezo mingine mingi.
Tunatawaliwa na siasa katika kila jambo linalohitaji ufundi, wanaojitokeza kubeza mafanikio ya Diamond ni wale ambao hawalitakii mema taifa katika sanaa kwa ujumla, wakimaanisha wao furaha yao ni kuona hatutambuliki na tunashangilia mataifa mengine katika mafanikio yao.
Haiingii akilini msanii wa Tanzania anafanya vizuri Mtanzania ageuke kikwazo.
Nilikuwa naota kila wakati kuja kuona na sisi (Tanzania)tunaheshimika na kutambuliwa pindi wanapokaa chini kupanga nomination.
Davido (Nigeria)
Goldfish (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Toofan (Togo)