Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Two things either mass revolution or civilian war as ballot box has proven a failure.kuna kitu kitatokea KENYA
uzuri wakenya sio kama watz... wao wanajielewa na wanaelewa nini wataka maishani mwao....Two things either mass revolution or civilian war as ballot box has proven a failure.
What do u mean Wakenya? Sema non Kikuyus n Kalenjins..uzuri wakenya sio kama watz... wao wanajielewa na wanaelewa nini wataka maishani mwao....
ni kweli uchaguzi hautafanyika hiyo 26
Ni kama wewe unavyomsingizia Wanjigi na mauaji ya Msando pia ati anamiliki kampuni iliyopewa tender ya ku-transmit election results upofu wa ukabila utakuua nyambaf wewe!Acha propaganda geza.....una tabia za mwanamke
I think a term "Wakenya" it makes sense, hiyo Kikuyu au sijui kalenjis it means separation among you kenyans, not goodWhat do u mean Wakenya? Sema non Kikuyus n Kalenjins..
Two things either mass revolution or civilian war as ballot box has proven a failure.
Wanajielewa kwa tribal killings.uzuri wakenya sio kama watz... wao wanajielewa na wanaelewa nini wataka maishani mwao....
ni kweli uchaguzi hautafanyika hiyo 26
Eti wanajielewa, nyumbu utawajua tu. Kama wanajielewa kungekuwapo na hii kutwokuelewana.uzuri wakenya sio kama watz... wao wanajielewa na wanaelewa nini wataka maishani mwao....
ni kweli uchaguzi hautafanyika hiyo 26
Thats the sweet part of "man eat man" society...I don't like this ongoing situation, it hurts me,
In trying to make sure the 26th October election is taking place even after the main rival's withdrawal citing lack of credibility on the team overseeing the electon, the Jubilee led government is unlawfully putting Mr Chebukati under siege. This is according to Rose Akombe the commissioner that fled to the US.
MY TAKE
Political affiliation aside n truth be told the Supreme Court of Kenya is the only institution withholding that country from the brink of Anarchy.
Hatukua na working constitution and proper judiciary in place wakati huo. This time our Judiciary and Constitution is busy fighting for the people's rights. Hatuna pressure thanks to the two.Kenya haiwezi kubaki salama, kitendo cha kuchinja watu 2007 na wahusika wasitafutwe na kuhukumiwa mahakamani, badala yake serikali ikatumia nguvu nyingi na kupoteza watu wengine ili kuwatetea watuhumiwa wa mauaji kwa sababu watuhumiwa ni matajiri, lazima damu ya walikufa itawarudia, huu ni mwanzo tu.