Akothee atoa kitchen party kali kwa wanawake wa kitanzania hasa hamisa mabeto

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Ishu ya @diamondplatnumz x @hamisamobetto na @zarithebosslady yazidi kuvuka Border... Na sasa Billionaire wakike kutoka Kenya ambaye pia amewahi fanya kazi na Diamond Yamemfika hapa... Aandikia ujumbe huu wa mafumbo



By @akotheekenya -
but why would I take photos of someone I have just stolen for a sex moment if am not a maliciuos person , I think I can forgive my baby if he is caught in this scenario, why are girls not intelligent , if you succeded & convinced him to bed , then trust me, you can still manipulate his finances without interfearing with his family if you have some brains , so you be his panadol when his main chick is on fire , mbona hamjui kula na vipofu nyie , mbona mashot cut za kijinga ? mmm game yenu iko chini kama kiatu , a man wont be horny forever, and sex wont keep a man, its beyond bed haloooo. goodnight (sijasema mkatafute mabwana za watu , japo munawasaka , na sijataja mtu , leta matusi nikupe raha ) [HASHTAG]#brains[/HASHTAG] Work , why take evidence of sex , who does'nt know what happens when opposite sex are in bed ? what are you keeping evidence for ? how is hurting his family satisfying your malicious behaviour , it shows clearly you dont even love or want this man , you want this family broken and thats your mission
 
Tatizo la wabongo wana viteam vya vigodoro sasa unategemea watamshauri nini?
 
Huyo sijui Hamisa hawezi kuwa na akili hii aliyoizungumzia huyu Akothee..
Kichwa cha Hamisa kimekaa ki-vigodoro vigodoro.
 
Huhuhuuuu cheki unavyoumia kwa ujumbe wa akotheee pole weee. Upooze usipoozee ujumbe ushafika
hahhhaaahaaa halooo
na uzi umepooza kweli huu..
ngoja niishie hapa[emoji38]
 
Huyu Akoth ni professional golddiger haswaa Africa mashariki nzima.

Pamoja na kwamba huyu demu ni mbaya lakini anajua kucheza na akili za mwnaume vibaya mno kwa manufaa yake.

Huyu hata zari_the_boss_lady hafiki hapa kwa usupasta na kuchuna mabwana.

Ana mkwanja hatari huyu demu, na huo mkwanja kuna mcanada aliingia kichwa kichwa hapo akatangaza ndoa, baada ya ndoa tu demu akamtengenezea mazingira ya kuivunja hili wagawane mali, na mission ikawa successful Leo hii ni msanii tajiri Kenya.

Acha kabisa huyu demu ni namba nyingine na kwa hayo maelezo yake hapi, anatamani hili gap la hamisa angelipata yeye.
 
Kazi kumsema hamisa kumbe naye ni kahaba wa kutupa asante kwa kutufumbua macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…