Sikutaka kuchangia lkn imenibidi Uzi umedoda kwelikwelihahhhaaahaaa halooo
na uzi umepooza kweli huu..
ngoja niishie hapa[emoji38]
Kumbe hukumwelewa, anamsema hamisa eti kacheza game vibaya.Kazi kumsema hamisa kumbe naye ni kahaba wa kutupa asante kwa kutufumbua macho
Asante kwa kunielewesha wote ni mfanano wanatofautiana uzoefu tuKumbe hukumwelewa, anamsema hamisa eti kacheza game vibaya.
Akithee ana ela ana nyumba Uswiss alikuwa kaolewa na Barozi if not mistaken, inawezekana ndiye msanii mwenye ela Ea
Kila mtu ana njia zake za kucheza game ili atoke,kwa Hamissa bahati mbaya imefail....Kumbe hukumwelewa, anamsema hamisa eti kacheza game vibaya.
Akithee ana ela ana nyumba Uswiss alikuwa kaolewa na Barozi if not mistaken, inawezekana ndiye msanii mwenye ela Ea
Kila mtu ana njia zake za kucheza game ili atoke,kwa Hamissa bahati mbaya imefail....
Huyo akothee nae apaswi kumsema hamissa maana nae utajiri wake umetokana na wanaume.
Wote ni magold digger tu sema yeye keshatusua.
Kila mtu ana mahesabu yake huwezi jua mond alimuhaidi nini huko pembeni.Ndio maana kasema ukila na kipofu usimshike mkono!Ananjitambua sana Akothee, huyo Hamisa angekula kimya kimya!
kipenz uwe unafikiria kila kauli kwanza.Huhuhuuuu cheki unavyoumia kwa ujumbe wa akotheee pole weee. Upooze usipoozee ujumbe ushafika
Tusipangiane cha kupostMashost si muende nyuzi zilizochangamka. Ila nimegundua lugha ni tatizo. Ras simba anawahusu.
Kuna watu wangekufwa kabisa kawasaidia kiboro tu povu hilooRav4 inawatoa povu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hamisa kajua kuwatesa
Angenunuliwa ferrari east africa wangekesha wanaomboleza
Haha uwez fananisha umalaya wa akothee na mobeto,...yani awa niwatu wawili tofaut ut talkin abt amillionaire woman anae tumia brains na mtu kama video vixen jaman kama mobetoKazi kumsema hamisa kumbe naye ni kahaba wa kutupa asante kwa kutufumbua macho
yani rav4 na milliom ngapi zile kafumbua domo angetulia apige hela nzuri,...akumbuke ao wakina zari wana mahela yao na wana magari ya kifahari tena sio yakununuliwa,...mwanaum kutombesha kawaida ata ww unatombewa tu kwaio angechuna tu mbna kuzalishwa si ajabu,...sasa yy ameona dili kwelikweliRav4 inawatoa povu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hamisa kajua kuwatesa
Angenunuliwa ferrari east africa wangekesha wanaomboleza
Kuna mahali nimesema wote ni walewale wanatofautiana uzoefu wa kuchuna mabuziHaha uwez fananisha umalaya wa akothee na mobeto,...yani awa niwatu wawili tofaut ut talkin abt amillionaire woman anae tumia brains na mtu kama video vixen jaman kama mobeto
kipenz uwe unafikiria kila kauli kwanza.
huyo kaka kasema gold diggers wa kizaramo hawataelewa..mi ndo nkamjibu ndo mana uzi umepopza nkimaanisha wale gd wa kizaramo lugha pia imewapita kushoto hawajaelewa.ingekuwa ujumbe wa akothee umeandikwa kwa kiswahili nwanzo mwisho ungeona uzi unavoenda kwa speed wanachamba wee kila mtu na lake..ndo topic zao hizi
mi wala sijakoment kudis uzi wako
Amna wote wazoefu sema mmoja anaakili kuliko [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna mahali nimesema wote ni walewale wanatofautiana uzoefu wa kuchuna mabuzi