Akothee naye atisha!

hayo matofali yanapatikana wapi bongo jamani
ila hyo ramani sio kiviile
 
Hv wakenya na waganda mziki wao unawalipa eeehh??maana kidogo majumba mahelcopter hebu nisaidieni mwenzenu
 
alen KILEWELLA mkuu haya ni mawe na yanachongwa matimbo(quarry). Yapo yale meupe na yapo haya ya brown ambayo magumu kuliko yale meupe. Pia ni ghali sana, tena sana kuliko meupe.
 
Mavumbini bana...yaani viwango viko chini sana. Hilo nalo ni jumba la kifahari kweli?

Hebu chekini mambo ya USA...na hizi ni nyumba za kawaida kabisa yaani....

 
geniveros, sifa tu ndio hawana ila unalipa. Halafu utakuta mtu ana kazi nyingine muziki anaimba tu.
Mfano.
Janguar- anafanya kazi na shirika la kupambana na mihadarati.
Nameless- archtecture
Wahu- mwalimu
Kaka Sungura- mhadhiri wa chuo kikuu
the list is endless maana wengine ni radio/tv presenters ama actresses/actors.
 
Uko sahihi hata huyo binti anajituma sana kuna picha zake niliziona zinamuonesha akijishughulisha na mambo ya kilimo na ufugaji
 
hapo nimekuelewa maana ukiangalia Sie huku majanga matupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…