Akothee naye atisha!

Unajua maana ya nyumba ya kifahari wewe.hyo nyumba ni standard sio ya kifahari.
 
Huyo Dada ni business woman, mziki part time tu. Aliangukia muzungu akampa mijihela ya kumwaga ndo kuinvest kwenye real estate na Tour busses. Before alikuwa Tax driver Mombasani
nimempenda kujituma kwake!hapa bongo mijitu inapata hela imachezea tu na show off!!
 
Hili ndo jumba la kifahari jamani!!!!!!
 
Mavumbini bana...yaani viwango viko chini sana. Hilo nalo ni jumba la kifahari kweli?

Hebu chekini mambo ya USA...na hizi ni nyumba za kawaida kabisa yaani....

View attachment 381587 View attachment 381588
Ufahari kwa TZ si sawa na ufahari USA

Kawaida kwa Billgate si kawaida kwa Makonda

Tamu kwa Wema Sepetu si lazima iwe tamu kwa Boss Lady

Mwendokasi za TZ tunazojisifia, si sawa na mwendokasi Duhai

Anayependa benzi ana sababu zake kama alivyo anayependa VITZ

KIFUPI NI HIVI HATUNA SI UNIT YA UFAHARI
 
Bravo kwake, alianza kama dreva taxi, kajitahidi sana ukisikiza mahojiano yake na millard ayo youtube unaweza kujifunza kitu katika maisha. Sio mtu wa kukata tamaa.
 
Pia ana kampuni ya usafirishaji, hiyo mama ni mpambanaji sana na sehemu kubwa ya kipato chake kinatokana na biashara zake na si mziki
True mziki anafanya for funny japo unamlipa kwa kumpatia umaarufu.
 
wana akili sana huku kwetu akili hizo hawana hawa wasanii uchwara wamekalia sifa tu!
Sio wote, wengine mateja tu, kama lile Prezoo. Halafu wakenya wanapiga sana show za nje wanapata mialiko mingi ya wekenya US, UK na Canada na baadhi ya nchi za ulaya wakenya ni wengi sana kwny hizo nchi
Na show za kikabila, hakuna luo nights inafanyika asialikwe Akothee!!! Nyar Luo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…