Akpan na Okwa Wagoma Kuondoka Simba SC

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Akpan na okwa wamegoma kuondoka, hivyo hakuna nafasi ya kuongeza mchezaji wa kigeni

Akpan aliambiwa arudi kwenye timu yake ya zamani kwa mkopo, amegoma nakusema anabaki kupambania namba la sivyo avunjiwe mkataba.

Okwa nae anadai abaki au avunjiwe mkataba na apewe stahiki zake zote isipungue hata 100
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipo..
 
Mambo haya ya mikataba aliweza barbra
 
Hilo Ni SoMo kwa hivi vilabu kutumia vizuri dirisha kubwa la usajili. Siyo lazima kudajili kwa mihemko na si lazima nafasi zote 12 zimezwe na dirisha kubwa. Tujifunze kuweka balance kwa ajili ya dirisha dogo. Pia scouting team wawe makini Sana kabla ya kumrecommend mchezaji flani asajiliwe ili kuondoa hizi ambiguities za kuvunjiana mikataba na kulazimishana kupelekana kwenye mikopo
 
Hoja yako Imeshiba.
 
Aibu yako hii
 
Nani aliwalog Simba kwenda kuwanunua wachezaji wa kina Nigeria wale Ni matapeli n wasom fursa wote ,Simba italazimika kuwalipa wahuni vijan wapiga dili na danadana eti wachezaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…