Aksante Rais Magufuli Tumejua Mengi

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,446
Reaction score
988
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
11)Unga unaweza kuwa anasa kuliko Mchele
AHSANTE MAGUFURI UMENIFUNZA MENGI..
 
Lizabon Faiza foxy pohamba laki si pesa Gentamycine na yule nan hiii njoo huku
 
Acha tu...ugali umepita wali kama chakula mahususi!
 
13. Watu wanaweza kunywa pombe za kienyeji badala ya bia.
15.Wakina dada wanajua kukumbuka watu na kuwanyenyekea kipindi cha njaa kali [emoji16]
 
Reactions: 247
bado tu kuwajua waganga wanaotibu umasikini sugu...
Mkuu Kipindi hiki waganga wanapiga sana hela.mtu akiona mambo yake magumu anahisi amelogwa.badala ya kutafuta financial advisor anakimbilia kwa wataalam wa sayansi mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…