Jamani kuna mwanamuziki wa Akudo impact (Mkongo) ni jirani yetu, leo kaita wenzake nyumbani kwake wanafanya mazoezi ya muziki.
Ni kelele tupu usiku huu na mavyombo ya muziki tangu saa 1 jioni mpaka mida ya saa sita na ushee! Hawatoi taarifa wala kuomba ruksa! Hivi kweli Akudo mnakosa eneo maalum la kufanyia mazoezi yenu? Na huyo jirani mkongo hapo anapokaa amewekwa na analelewa na mwanamke wa kitanzania. Msaada please! !!!