Mtu Asiyejulikana JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 2,254 Reaction score 5,161 Jan 10, 2025 #1 Beki kitasa alichezea mikia akaondoka kwa maneno sana kwenda SA kama sijakosea .yu wapi sasa? Mbona haitwi team ya Taifa?
Beki kitasa alichezea mikia akaondoka kwa maneno sana kwenda SA kama sijakosea .yu wapi sasa? Mbona haitwi team ya Taifa?
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Jan 10, 2025 #2 Alimuoaga dada ake kiba sijui mwaka jana nikaona anaoa tena Msearch instagrama hutomkosa