Akumbukwe: Ramadhani Singano "Messi"

Akumbukwe: Ramadhani Singano "Messi"

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa?

Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa tunawaona bado. Yeye yu wapi?
 
Jamaa alikuwa TP Mazembe, akaja kuwashataki nadhani alipata award ya Shs 1B+
 
Yupo nchini amejenga msikiti mkubwa sana kigamboni
 
Back
Top Bottom