Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Kagere kampa mtu kiwiko huko

Kama kuna var angepigwa umeme
 
Dk Ya 83, Bado S.S.C wapo nyuma kwa Bao 1.Ila nasisitiza Lolote linaweza Kutokea....!
 
Waarabu saizi wanautafuta kwa tochi
 
Shabalala na Kapombe laiti wangelijua gharama za kupoteza mipira wakiwa kwenye movie, daah
 
Daah kumamake ngoma imegonga mwamba walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…