Al ahly and esperance, channel ipi wanaonyesha live kupitia (dstv Compact)?

Al ahly and esperance, channel ipi wanaonyesha live kupitia (dstv Compact)?

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Wakuu kwema?

Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?

Game ni saa 4:00

Ahsanta
 
Ni bora kuwa na wifi kuliko dstv, mashindano ya kuwania kombe la dunia kwa timu za Afrika hawaonyeshi, je! Copa America pia hawataonyesha? Nasubiri
 
Back
Top Bottom