BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Tv eWakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta
Chanel yenye mchele na chenga nyingi🚮🚮Tv e
Thanks kamandaTv e
Super sport hawaonyeshi?Chanel yenye mchele na chenga nyingi🚮🚮
Ushapewa jibu hapo juu kakaSuper sport hawaonyeshi?
Ushapewa jibu hapo juu kaka
Wako hovyo sanaBasi hakuna faida ya dstv, kama caf champions league hawaonyeshi wanini sasa! Watuletee Bein Sport
azam pia wanaoneshaWakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta
Wanakera mno kamanda, nimelipia 64000/= dah 😄Wako hovyo sana
DStv inayo TVEWanakera mno kamanda, nimelipia 64000/= dah 😄
Huyu itakuwa anamaanisha super sports channels.DStv inayo TVE
Huyu itakuwa anamaanisha super sports channels.
Shukrani kamandaDStv inayo TVE
Shukrani kamanda wanguDStv inayo TVE
222Wakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta