Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Al ahly SC ni club pendwa barani afrika, na hata nje ya Afrika, ni klabu inayoongoza kuwa na many fans nchini Misry na hata all afrikans kwa ujumla, ikifuatiwa na Zamalek kisha Raja Casablanca n.k.
Kinachoshangaza timu kama Al ahly why inatumia makocha wa nje, wanakuja kupiga hela tu, wakati hiyo nafasi wangempa kocha mzawa, haiwezekani taifa la mpira kama Misry wasiwepo makocha wazawa, kama mnakumbuka Kocha wa timu ya taifa Hassan shehata enzi zake, jamaa alikua ni professional haswaa, na alikua mkali, achana na hao akina pitsosimane na wazungu wake wanakuja kupiga hela na kusepa.
Ushauri wangu, watumie makocha wazawa, na sio akina pitsosimane na wenzie, kinachowapa advantage hawa makocha ni quality players, mfano huyo pitsosimane, najua wengine watamtetea kwakuwa ni mwafrika, lakini kiuhalisia hakuna kocha hapo, na ni bora amejiondoa mapema kabla hajafukuzwa, tena wamemuonea huruma tu.
Binafsi timu ilikua inambeba, japo sio al ahly ile nayoijua mimi, ilikua timu ya makombe.
Ahsanteni.