Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa uko kichwani hamnaga kituAsec Mimosa alivyoenda kukutana na Simba kule Ivory Coast unajua story ilikuwa vipi?
Story ilikuwa Simba ataenda kupata advantage kubwa kwenye mechi kwasababu Asec Mimosa hajacheza mechi ya ushindani kwa muda mrefu.
Sasa naposoma hii mada yako najikuta njia panda mashindwa kuelewa kwanini upande fulani timu ikisipocheza mechi za ushindani inakuwa na advantage ya kuandaliwa ubingwa
Na upande Fulani tena timu ikisipocheza mechi za ushindani inakuwa haina fitness ya kuweza ku perfom vizuri kwenye mechi kubwa.
Weka hoja mezaniWe jamaa uko kichwani hamnaga kitu
Asec anakutana na simba ana miezi miwili hakucheza mechi yeyote ile hata ya kirafiki
Swali nikuulize al ahaly ana miezi miwili hajacheza mechi yeyote ile