Asec Mimosa alivyoenda kukutana na Simba kule Ivory Coast unajua story ilikuwa vipi?
Story ilikuwa Simba ataenda kupata advantage kubwa kwenye mechi kwasababu Asec Mimosa hajacheza mechi ya ushindani kwa muda mrefu.
Sasa naposoma hii mada yako najikuta njia panda mashindwa kuelewa kwanini upande fulani timu ikisipocheza mechi za ushindani inakuwa na advantage ya kuandaliwa ubingwa
Na upande Fulani tena timu ikisipocheza mechi za ushindani inakuwa haina fitness ya kuweza ku perfom vizuri kwenye mechi kubwa.