Al ahly wakizubaa kidogo kombe la shirikisho linawahusu.

Al ahly wakizubaa kidogo kombe la shirikisho linawahusu.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Hali si shwari kwa ndugu zetu Al ahly kwenye ligi ya Misri kwani badi sasa wanashika nafasi 3 huku ligi ikielekea ukingoni. Kwa hali ilivyo kunauwezekano wakaikosa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimamo wa ligi ndo km mnavyoona hapo chini.
Screenshot_20220820-090139_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220820-090139_Chrome.jpg
    Screenshot_20220820-090139_Chrome.jpg
    29.3 KB · Views: 4
Wanaikosaje wakati washa pangwa champions League angalia ratiba wamepewa viti maalumu
 
Hali si shwari kwa ndugu zetu Al ahly kwenye ligi ya Misri kwani badi sasa wanashika nafasi 3 huku ligi ikielekea ukingoni. Kwa hali ilivyo kunauwezekano wakaikosa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimamo wa ligi ndo km mnavyoona hapo chini.View attachment 2329055
Uko mbali sana na ulimwengu wa soka mkuu. Ligi ya Misri haikukamilika kwa wakati hivyo shirikisho la soka misri wakapeleka matokeo ya msimu uliyopita. Hivyo Al Ahly kaishapangwa kwenye michezo ya klabu bingwa
IMG_20220820_100026.jpg
 
Hali si shwari kwa ndugu zetu Al ahly kwenye ligi ya Misri kwani badi sasa wanashika nafasi 3 huku ligi ikielekea ukingoni. Kwa hali ilivyo kunauwezekano wakaikosa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimamo wa ligi ndo km mnavyoona hapo chini.View attachment 2329055
Walishapangwa kucheza klabu bingwa kwani waliangalia msimamo wa round ya kwanza wa ligi ndomana sahivi wao wanachezs timu ya akiba maana kama wana mgomo flani hivi

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Sio matokeo ya msimu uliopita ni matokeo ya round ya kwanza
Uko mbali sana na ulimwengu wa soka mkuu. Ligi ya Misri haikukamilika kwa wakati hivyo shirikisho la soka misri wakapeleka matokeo ya msimu uliyopita. Hivyo Al Ahly kaishapangwa kwenye michezo ya klabu bingwa View attachment 2329106
 
Wanaikosaje wakati washa pangwa champions League angalia ratiba wamepewa viti maalumu
Tarehe ya CAF ya kuwakilisha majina ya timu shiriki ilishapita huku ligi ya Egypt ikiwa bado mechi 10. Hivyo chama cha Soka Egypt walimua tu kutuma majina ya washindi wa mzunguko wa kwanza wa ligi. Hali hii imeleta makasiriko sana kwa timu ya wananchi ya Pyramid wakimlalamikia Karia wa kule Egypt.
 
Hata mimi nlishangaa sanaa piramid yuko nafac ya pili ila anaenda shirkisho wkt Al Aly yy yu ya tatu na anacheza CL
 
Back
Top Bottom