Al Ahly wamdaka Antony Modeste kutoka ligi Bundesliga ya Ujerumani

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Unapozungumzia Uwekezaji katika SOKA ndiyo huu, ili uweze kuwa bora na imara ni lazima utafute wachezaji wa kukufikisha huko.

Timu ya AL Ahly ya nchini Misri imeamua kufanya hivyo kwa kumdaka Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa Anthony Modeste aliyekuwa akikipiga kunako timu ya Dortmund ya UJERUMANI kwa mkataba wa mwaka mmoja. Modeste anajiunga na AL AHLY kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kutamatika pale Dortmund.
 
Kwahiyo kwenye ile mechi atakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…