Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

Mikwara ya zamani sana hiyo sema wao wanacheza na akili ya mpinzani kuonyesha kuwa wanaiogopa sana Simba kumbe wapi....
 
View attachment 2946167
Pamoja na hii mikwara yao utashangaa anakufa 3-0 siku ya Ijumaa pale Lupaso. Nimependa mikwara yao japo mtu mzima hatishiwi nyau.View attachment 2946169

Sio mikwara bali bajeti inaruhusu. Hata ndege huwa wanakodi ndege nzima ya shirika la nchi yao egypt air. Huwa Hawachanganyiki na abiria wengine kwenye ndege kama timu zetu.

Kila nchi wanayoenda ya kusini mwa janga la sahara ndio huwa wanafanya hivyo hivyo.

Huwa hawawaamini watu weusi. Wanakuja na vitu vyao kila kitu. Na hata hotelini hawatakagi usumbufu kabisa..

Owner wa hotels huwa wanawapa VIP treatment ya kuwapa wanachotaka sababu wana mapesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…