Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

Ili Mangungu asipate amani tunapaswa tupigwe tu

Ndio akili itamkaa sawa
 
Al ahily lazima aogope , bado ana kumbukumbu za goli za simba 6-0 Janwang Galaxy, so hawezi kuibeza Simba hata kidogo, na wana kumbuka draw za Super League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…