Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hela wanayo ndomaana wamemtaka na pia ujio wa Ronaldo tu utawaletea Wafuasi na Deal za biashara nyingi ambazo zitarejesha Faida ndani ya Mwezi tu....kuanzia Mauzo ya Jezi, Haki miliki za mechi zao, Gate collections, Insta Followers, Deals za Nike/Adidas zitapandishwa Dau kwa upande wao nk....Hela ya kumlipa hawana, halafu CR7 ukiachana na uwezo aliokuwa nae pili ni brand kubwa mno.
Anacheza wapi sahiviRonaldo sio hela tu anahitaji bali hata heshima na kujitunzia hadhi nd mana anakataaga hata baadhi ya kusajiliwa vilabu ulaya kisa vipo europa. Ronaldo kucheza Africa!!! "ngumu"
AsiaAnacheza wapi sahivi
Unaelewa maana ya mkopo? Na usajili wa mchezaji usidhani analipwa tu na club...!Hela ya kumlipa hawana, halafu CR7 ukiachana na uwezo aliokuwa nae pili ni brand kubwa mno.
Ina maana atacheza Misri,ila Wasaudi ndio watakao mlipa kila kitu.....? au wewe mkopo kwenye mpira unavyojua wanamaanisha nini?Unaelewa maana ya mkopo? Na usajili wa mchezaji usidhani analipwa tu na club...!