Al-Ahly wapo Austria kwa maandalizi

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
... [emoji599] β€Ίβ€Ί π˜Όπ™‡ π˜Όπ™ƒπ™‡π™” - π˜Όπ™π™Žπ™π™π™„π˜Ό

Hapa sio Egypt [emoji1093], ni Austria [emoji1038]

Mashabiki wa klabu ya Al-Ahly wakifuatilia timu yao ambayo iko Nchini Austria [emoji1038] kwenye pre-season.

Full β€” [emoji1093] Al-Ahly 3 - 1 Aluminij [emoji1218]

Hii ndiyo inaitwa 'π‘Όπ’π’Šπ’‘π’ 𝒕𝒖𝒑𝒐'[emoji119]

Vyura hawalali, usiku kucha wanaweweseka na na timu iliyobarikiwa na MUNGU na kupendwa sana na CAF Huku FIFA wakitamani mnyama SIMBA angekuwa anatokea barani ulaya ingependeza sana kutokana na kutandaza pira biriani na pira manyanyaso kwa timu zinazokanyaga pale kwa mkapa, na hii imepelekea CAF kwa fweza zao wenyewe waukarabati ule uwanja ili waone na wafurahie mateso na manyanyaso makubwa kwa timu kutoka njenje ya nchi zitakazo tia miguu pale lupaso, especialy
Al ahly
Wydad
Mamelod na wakubwa wengine,
Saivi hatuzungumzi na uto, tupo juu mawinguni.
 
Ahmed Ally au Semaji la CAF lilisema hata bia imeandikwa hairhuhusiwi kwa walio chini ya miaka kumi na nane. 🐸Wanateseka sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahmed Ally au Semaji la CAF lilisema hata bia imeandikwa hairhuhusiwi kwa walio chini ya miaka kumi na nane. [emoji196]Wanateseka sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Simba kweli ni timu kubwa, nimejiuliza mara nyingi sipati majibu hivi ni lini timu nyingjne ya Tz ilicheza na bingwa Mtetezi wa Club Bingwa ya Afrika kama Al Ahly na Wydad? Tuache ushabiki maandazi jamani tuzungumzie uhalisia hii Simba haikufika hapo kwa bahati mbaya ilipambana.
 
Vyura kama mabamedi ni hela yako tu.
Kila mnayemshabikia huwa anagongwa na Simba.
 
Wakati Yanga anamfunga Al-Ahly kwa Mkapa na kwenda kutolewa kwa matuta Egypt ulikuwa bado unanyonya?
 
Wakati Yanga anamfunga Al-Ahly kwa Mkapa na kwenda kutolewa kwa matuta Egypt ulikuwa bado unanyonya?
Inawezekana Mkuu, ila inaweza kuwa miaka si chini ya ishirini iliyopita na Al-Ahly sidhani kama alikua defending champion!
 
Ila cha kufurahisha ni kwamba timu yetu ya Yanga imejiimarisha miaka ya hivi karibuni, ule mtindo wao wa kuwapokea wageni JNIA siku hizi wameuacha ndio maana wanafanya vizuri! Tusubiri kumpokea Rais wa FIFA tarehe 20 Oktoba, 2023.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…