Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Pili

Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Pili

Mkuu naomba kujua kitabu chako cha Life and Times of A.Sykes kinauzwa maduka yapi hapo Dar.
Adili2,
Kinauzwa katika maduka ya Ibn Hazm Media Centre Misikiti ya Mtoro,Manyema, Mtambani na Kichangani.

Bei elfu kumi tu.
Kipo kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.
 
Msikitini?
Sumve...
Hapana kuna Bookshops kote huko.

Mfano kama vile Cathedral Bookshop pale St. Joseph's Church.

Hapo pana kanisa lakini lipo duka la vitabu na Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani hii yote ni misikiti lakini pembeni kuna maduka ya vitabu kama vile Cathedral Booshop.
 
1731687892005.jpeg


1731687701885.jpeg

Nikipokea Special Award​
 
Back
Top Bottom