Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mkuu naomba kujua kitabu chako cha Life and Times of A.Sykes kinauzwa maduka yapi hapo Dar.
Adili2,Mkuu naomba kujua kitabu chako cha Life and Times of A.Sykes kinauzwa maduka yapi hapo Dar.
Msikitini?Adili2,
Kinauzwa katika maduka ya Ibn Hazm Media Centre Misikiti ya Mtoro,Manyema, Mtambani na Kichangani.
Bei elfu kumi tu.
Kipo kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.
Sumve...Msikitini?