Field Marshall eS,
US will never have a woman or colored (black) President!... I can bet my money on that. Kundi hili linaweza kugombea na kuonyesha kila dalili za ushindi but it will never happen.
Mkuu Bob,
Heshima mbele mkuu, una-raise a very good debate au argument, ninakusikia sana loud and clear, isipokuwa tu kwa mtizamo wangu finyu na reading between the lines ya yanayojiri sasa hivi, ninaona:-
1. Mama Clinton, kwanza time za kisiasa zinaonekana kuwa on her side, kwanza kama mke wa a former famous president, ambaye mapaka leo as a matter of history ya US, bado anakubalika na 70% ya wananchi huko, as opposed na a Republican na the now sitting president, anayekubalika kwa 30% tu! Hiyo ni a big plus kwa huyu mama, katika ku-reasonate na wapiga kura,
2. Mama Clinton, ni mmoja wale wanaojiona kuwa ndio wazungu pure, yaani the Anglo-Sax, no question kuwa atakayeshinda kwa Republican ni Giuliani, ambaye the fact kwamba ni Mtaliano, pekee inamfanya awe underdog, na polls zilizotolewa jana zinaonyesha Bibie akimpiga kwa huyu "mafia" kwa 52% against 48%, kwa hiyo huyu former Mayor anaonekana kushindwa kabla ya uchaguzi haujafika,
3. Mama Clinton, ili kuwa Senator wa NY, alimshinda Mtaliano mwingine kwa jina Lazio, a former Congressman wa NY, ambaye alikuwa ni mkazi hasa wa NY, against huyu bibie aliyehamia tu NY toka Arkansas, juhudi zote za Republican Party kuifanya ishu ya mwanamke kuwa ishu zilipiga ukuta, sasa huoni kuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais itakuwa tu marudio tu ya uchaguzi wa u-Senator?
4. Mama Clinton, ana team ambayo inaheshimika sana katika mambo ya uchaguzi huko ma-US, kina Bill Clinton mwenyewe, Begalla, James Carville, Leornard Panneta, Teddy Kennedy, Blumenthal, Mwana mama Brazil, Vernon Jordan, hawa ni watu wanao ogopewa sana huko kwa kuwa wakali sana katika ku-organize kampeni za uchaguzi wa kisiasa, in fact the recods ni kwamba hawajawahi kushindwa, ambayo ni another plus kwa Bibie!
5. Mama Clinton, ukweli ni kwamba mpaka leo hii uchafu wake wote wa kisiasa na binafsi, tayari umeshatolewa kila mnyamwezi anajua na bado anaongoza kwenye polls, as opposed na Giuliani, ambaye so far uchafu wake wa kina bado kutolewa vizuri, maana nasikia wakuu wanasubiri kwanza mambo yaive, halafu sio rahisi kushinda tiketi ya Republican bila Conservatives on board, ambao so far hawamtaki Giuliani, kwa sababu yeye sio pro-life, na tayari wameshaanza kumtafuta candidate mpya wa kusimama on independent line, amabye atasaidia only one thing, kumpunguzia Giuliani, kura, na kumpa nafasi zaidi huyu Bibie!
6. Mama Clinton, so far pia anongoza kwa mbali sana kwenye polls na wanawake wapiga kura huko US, na anaongoza pia hata kwenye polls among weusi huko, hata kumshinda Obama, na pia anaongoza kwenye polls among Hispanics wapiga kura, ambao sasa hivi wamebakia kidogo sana kwa numbers kuwapita idadi ya wazungu huko US, kwa hiyo likely mgombea mwenza wa mama, atakuwa Bill Richardson, ambaye ni Chicano/Mexican au Hispanic, sasa huoni kuwa huyu Richardson ni the best candidate kuwa mwenza wa mama maana atazoa kura zote za hao wakulu Hispanics! hiyo pia ni a big plus kwa Bibie!
7. Mama Clinton, pia katika polls wapiga kura wote wanakubali kuwa ni yeye peke yake kwenye wagombea wote wa urais kuanzia Republicans mpaka Democratics, ndiye mwenye more experience na urais na uongozi kwa ujumla, na the fact kwamba akichaguliwa urais, basi atakuwa co-president na mumewe Bill, wapiga kura karibu 75%, ndivyo wanavyoamini hivyo, sasa huoni hii kuwa nayo ni plus kwa Bibie!
Na kama Demokratic watampitisha ama Mmatumbi mwenzetu Obama basi Ushindi wa Republican utakuwa kama wa JK..Rev. Jackson alianza na mikwara kama hii na kila dalili za kushika hata makamu wa rais, lakini alikuja zimwa vibaya sana tena basi ndani ya Demokratic..
Huyu mkuu uwezekano wa kushidna haupo kabisaa, sasa hivi Bibie Clinton, anaongoza kwa 33, points na kila siku ya Mungu, points za Obama zinashuka kutokana na kutokuwa na experience, maana mpaka leo jamaa hukwepa kuongela ishus, kwa nafasi yeye hata ugombea mwenza haipo kabisa, maana hao wazungu hawawezi kugombea na mweusi, maaana wanakumbuka kuwa Gore, aliukosa kwa sababu ya kugombea na M-Jewish Liberman, hawawezi kurudia makosa,
Jesse Jackson, hajawahi kuwa na nafasi ya kushinda uchaguzi ingawa alijitahidi sana kwenye primaries, ukweli ukaja down to betweeen Mgiriki Dukakis, na mweusi Jackson, nani afadhali, wazungu wakla pride zao na kumpa Mgiriki, taufta kitabu cha mke wa zamani wa Mohamed Ali, kinachoitwa The Black women undrstanding the Blackmen, utakuta ukweli owte wa hiyo hoax ya Jesse Jackson na urais na ilianzishwa na nani na kwa nia gani?
Huu mkuu ndio kwa kifupi, mtizamo wangu kuhusu uchaguzi ujao wa rais wa US, kuwa huyu Bibie Clinton, ana nafasi ya at least 85%, kuwa rais na niko tayari ku-bet my life!
ahsante mkuu!