Al Hilal ya Sudan kumchukua Morrison na keeper wa Dodoma Jiji

Al Hilal ya Sudan kumchukua Morrison na keeper wa Dodoma Jiji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Bm 3 ana deals 2 moja kwenda sudan au saudi arabia na mshahara ni mkubwa sana ,tatizo ni kwamba kule starehe hakuna sijui kama ataweza.

Kingine kikubwa ni kipa wa Dodoma jiji aitwaye Mohamed Yussuph ambaye yuko kwenye kiwango bora sana anahitajika huko sudan pia

Screenshot 2022-05-15 at 16.44.01.png
 
Huyu Kipa mbona magoli mengine huwa anajifunga mwenyewe?. Hamna kitu hapo. Wamchukue Morson tu.
 
Kipa hewa sanaa sometimes ku coach ivi vilabu vya siasa ni shida sanaa
 
Bidhaa zitapanda bei bila kujali nyongeza ya mishahara
~ mafuta yamepanda bei
~mbolea imepanda kutoka elfu 50 hadi 110,000/- tegemea chakula kuwa bei juu
~ vita 🇺🇦 vs Russia🇷🇺
 
Back
Top Bottom