Al Houthi Wamepiga 2 US Carriers

Sasa missile za Iran zilikuwa zinapita juu ya izo meri ishalla yawazi ilikuwa onyo kuwa tunaweza zamisha ayo masanduku yenu lkn kichwa ngumu sasa wanalialia na iyo yote bado onyo tu!! Haaaa Iran anatisha
 
Mfia US kutoka Namtumbo
Yaani Anaweza Kuumizwa na taarifa Mbaya ya Us kuliko Ya Babake mzazi
Kuvaa kiarabu hakukufanyi uwe mwarabu unabaki tu mmatumbi wa Kilwa Kivinje ila pagazi wa kiarabu.
 
Hiyo taarifa ni ya uongo, hakuna US carrier yoyote iliyo shambuliwa na magaidi wa Houthi. Hizi ni zile taarifa zinazoanzia masjid ubwabwa.
Hii ni taarifa ya kweli hiyo meli iliyopigwa inaitwa USS Abraham na kwa sasa marekani ameziondoa meli zake katika Arabian sea baada ya shambulizi hilo
 
Hivi hizi habari zikiandikwa kwa Kiingereza ndio zinakuwa za kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…