Al-Jazeera swahili channel is very dangerous for East African and their unity..

Usijeshangaa tv za kibongo zikazuiwa kuonyesha aljazeera kiswahili wale wenye madishi na receiver ndio wataipata kama free channel. Nandhani itasaidia kuwapa ajira waandishi wetu walioenda shule walau degree moja ya uandishi wa habari.

Tatizo kwa Tanzania waandishi wetu hawana uzoefu kama wenzetu utakuta mtu ni mchumi na ana taaluma ya uandishi wa habari au mhandisi au mwanasheria lakini ni mwaandishi.

Elimu yetu ya juu bado haikidhi malengo ya kutufanya tukajiajiri kulinganisha na mataifa mengine. Tusubiri kupata news za uhakika tena live kwani waandishi watapewa vifaa vya nguvu vya ku-report habari live.
 
I call it Propaganda Against rights to information!
 
heshima mbele mkuu..

Muda wa kuwa JF ilianzishwa kwa minajili ya GTs kukutana na kubadilishana fikra pasi na kuonana basi ni matumaini yetu kuwa pindi Al-Jazeera wataanza kazi GTs wataweza kupembua pumba na mchele. Sidhani kama kuna GT anahitaji kuambiwa nini cha kufanya.

Karibu Al jazeera katika uwanda huu wa waswahili ulete changamoto kwa wakoloni wetu wa zamani(waingereza na BBC yao na wajerumani na Deutchwelle yao) bila kusahau redio zetu za FM.
 
Hii sasa itaanza lini na studio zake zitakuwa wapi?Nafikiri ni vizuri ikawepo ili tuweza kupata changamoto za haja na coverage kubwa.
 
There is nothing new here>>>Hata hao waliopo BBC, DW. VoA wana'ripoti kile chenye manufaa kwa maboss wao..Let them come and Compete with the Big Boys!!
 
 
Duh! kumbe Aljazeera Swahili -East Africa imeletwa na RA? Au ulimaanisha nini mkuu @ EMT.

Yaani katika post yangu yote umeona maneno matatu ya mwisho tuu? Jaribu kutumia kichwa mkuu. Soma post yangu yote utajua nilikuwa na maanisha nini kwa kusema "Rostam kaona mbali".
 
Reactions: Nzi
Yaani katika post yangu yote umeona maneno matatu ya mwisho tuu? Jaribu kutumia kichwa mkuu. Soma post yangu yote utajua nilikuwa na maanisha nini kwa kusema "Rostam kaona mbali".

Nimekupata mkuu, ila jaribu kuwa rational katika maneno unayotoa..epuka maneno ya kejeli.
 
Reactions: EMT
Nimekupata mkuu..ila jaribu kuwa rational katika maneno unayotoa..epuka maneno ya kejeli...

Maneno gani ya kejeli mkuu? Kama Rostam angekuwa mbunge, Al jazeera wangecheki uwani kwake kuna nini. Si umeona wameanika hadharani mpaka bedroom ya Gadaffi. Talking about sera za uwazi na ukweli......
 
Media is a very strong thing in any country ki taluma ina onekana kama chombo cha dola cha nne hapa tz na kote duniani ,media ndizo zili chochea vita vya watusi na hutu ,ndio mana media haipewi uhuru asilimia mia ni chombo hatari sana ,kwasababu in uwezo wa kugeuza nchi na kuifanya inavyo taka, berlusconi kama nimepatia spelling ni kiongozi wa italy ana kashfa nying sana.

Lakini kutokana na uwingi wa vyombo vya habari alivyo navyo ndio maana hadi leo anakuwa kiongozi, kama haita tumika vizuri basi tume kwisha kama itatumika vizuri good for us we are safe, tabia zime badilishwa na media bila hiki chombo tusinge kuwa tulivyo sasa .kama aljazeera itakuwa tishio kwetu basi kuna sheria ya kubroadcast au news paper act ita zuia ,ndio mana magazeti kutoka nje haya uzwi nchini zina banwa na sheria hii.so tusiwe waoga.
 
Yaani katika post yangu yote umeona maneno matatu ya mwisho tuu? Jaribu kutumia kichwa mkuu. Soma post yangu yote utajua nilikuwa na maanisha nini kwa kusema "Rostam kaona mbali".

Maneno gani ya kejeli mkuu? Kama Rostam angekuwa mbunge, Al jazeera wangecheki uwani kwake kuna nini. Si umeona wameanika hadharani mpaka bedroom ya Gadaffi. Talking about sera za uwazi na ukweli......

Nilikua nimeshakupata mkuu ulichosema kwenye post yako wa msingi..nimeelewa the context ya RA kutajwa...I did a wrong judgement to the post..however, kwenye post yangu ya mwisho kabla ya hii nikakuomba kuepuka maneno ya kejeli uliyosema kwenye post yako No. 47, nanukuu, "Jaribu kutumia kichwa mkuu

Otherwise, cheers mkuu!
 

Mbona umechangamkia sana tenda ya kuibomoa aljazeera, lazima una lako wewe au umelipwa tayari? Hizo theories zako za kwamba aljazeera itatangaza hivi au vile ni ndoto za hewani kwani wao wenyewe wako kwenye business.

Na mbona husemi hivyo kwa CNN ambao ndiyo mabingwa wa propaganda?
 
Hii ni dalili za woga kama viongozi wote ni wasafi woga wa nini basi?
 
For sure I agree with Macos, I was watching Aljazeera yesterday and then changed to RT was quite different, I do agree ,with this war Aljazeera has its own agenda, what they do provide to the world is not exactly what is happening in Tripoli.
 
scenerio inawezekana !au kwa kuongeza ile ishu ya 2001 pemba aljazeera ingekuwepo .anyway mi bado nataka ije hizi zote ni hofu zetu tu!
 
Tatizo viongoz wetu si wasaf, wanahofia maovu yao kutangazwa na waandish Wanaojua nn wanachopaswa kufanya si hawa wa kwetu wana itkad za kimakund kama CCM!. Karibu al jeezera.
 
for starters am a non supporter of the EAC plus TZ is not at peace kwahiyo GO on AL JAZEERA do you thing....
 
Last edited by a moderator:
I don't credence anything inspired by muhammadic piety.
 
Aljazeera ilianzishwa na wakoloni wapya karibu na vita ya Afghanistan kuanza.Ilipata nguvu sana wakati wa vita vya Iraq na inaweza kusemwa kuwa imefanikisha sana kupigwa na kupinduliwa nchi hizo.Kwa mwaka huu imefanikisha kuangushwa utawala wa Ghadafi kwa kumjengea uadui na wananchi wake.

Tunaposikia wanaanzisha channel ya Kiswahili huku tayari askari wa Marekani wanajidai kutoa chanjo za n'gombe na kujenga madrasa Pemba kwenye hazina ya mafuta ni lazima tuone ni sauti ya uchimvi ya bundi.
Wataivuruga East Africa na kuleta janga kubwa huku wakifanikisha malengo ya mabwana zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…