Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Naona kichekesho, huyo Gadaff unaye mpigia debe hapa kwa kilaumu Aljazeera Tv kwamba hiko biased si kweli. Je ulikuwa unajuwa kwamba huyu jamaa Gadaffi ambaye alikuwa anajitia kuwa teteawanyonge na kusaidia wapigania uhuru alikuwa akishirikiana na CIA na MI5 kwa kuwapatia magereza ya kuwatesea wasilaamu wenzake kutoka Pakistani, Afughanistana na kwingineko. Leo hii mnamuona ni mtu wa maana!
Hili la kuwatesa waislamu wenzake ndio laana yake Ghadafi.Laana kama hiyo imempata dkt Salmin na itamfuata Kikwete.
Pamoja na hivyo waislamu wengine wamefaidika sana na misaada Ghadafi..
Vyovyote iwavyo hakuna njia ya kukubali namna na sababu zinazotumika kumng'oa madarakani ambazo Aljazeera wamezishadidia
CIA na M15 wanashirikiana kimalengo na Ghadafi dhidi ya waislamu kwa namna moja au nyengine,kipi kimezidi kumgeuka ghafla?.
Hebu jiulize mwenyewe kwanza! Ni mwaka gani Marekani ilipigana na Kuwait na Nyerere akatoa taarifa ya hivyo?! Amini usiamini wewe na aliyeweka uzi huu hamna tofauti yoyote.... Wote nyie ni waongo wakubwa.By Macos....Just imagine if a Al jazeera TV reported non stop lies that Kikwete ordered to bomb Chadema stronghold in Moshi and Mwanza and armay are killing peacefull demostrators then because of this the country imposed No fly zone and eonomic blockade and then Dar is bombed to punish Kikwete ......this is my fear .....
Duhu, hapo Mkuu nimenyanyua mikono. Wacha wengine waendelee kuchangia hii mada. Domino!
Duuu hata mimi apo pamenipa usingizi nazima pc naenda kulala..kwa hiyo you think Tanzanian people are that much fool to pick a lies and going against government? or hear the truth from the media and keep silence while people are killed? auy ndio yale ya nyerere anaangalia tv home kesho ana show up na kusema nimeota amerikan imepigana na kuwait sababu watu walikuwa hawana access na tv? hahahahaha i m on my way to my territory this is not my place..
mi sidhani kama hiyo channel italeta tatizo lolote africa mashariki....ni vinchi vidogo sana kusambaratishwa na uvumi tu....kwanza majority of east africans wana-watch local channels....wasomi na wanaharakati ndio wanaangalia aljazeera....mbili, east africa itasambaratishwa na udini na ukabila....sio uvumi tu, ndio maana ukimtajia mwana east african yeyote jina lako atataka kujua mpaka DINI NA KABILA LAKO......