Bein sport wamei report hii channel kwa mods now wame disconnect live streamDakika 26'
Al Ahly SC 0 - 0 AS Vita Club
Walter Bwalya katika nafasi nzuri ndani ya box, anapiga mpira wa kichwa ! Mpira unapaa juu ya mwamba, nafasu nzuri Al Ahly kupata bao la kuongoza lakini inapotea.
Hili haliwezekani mkuu kumbuka VITA na Al Ahly watacheza watakutana hivyo lazima watapunguzana point akishinda Vita Ina maana muarabu hawezi kufikisha poits 12 na kinyume chake pia...hii inampa faida kubwa SimbaSimba akipata point 3 atakuwa na point 10. (Tuseme atazipata kwa wa Sudan).
AS Vita akishinda game 3 atakuwa na 12.
Al Ahly akishinda game 3 atakuwa na 12.
Hili haliwezekani mkuu kumbuka VITA na Al Ahly watacheza watakutana hivyo lazima watapunguzana point akishinda Vita Ina maana muarabu hawezi kufikisha poits 12 na kinyume chake pia...hii inampa faida kubwa Simba
Ok Ni assumption nzuri Sana ...lakin kumbuka hao jamaa wote tayari wanapoint 3 tu Kila mmoja wakiwa wamepoteza mchezo mmoja kwa Kila mtu na kibaya Zaid hivi wanacheza hivyo wanapunguzana point hivyo leo huenda mmoja akawa na point 6 au wakagawana points wakawa na points 4 Kila mmoja...so hata watakapo kuja kukutana for second leg nakuja kumaliza michezo Yao yote tayari mmoja itakua kashapunguzwa point leo hii hivyo bado hawawezi kumaliza makundi wakiwa wamefungana points!...Naweka assumptions:
AS Vita ashinde game ya Al Ahy moja na Al Ahly ashinde moja ya AS Vita. (Hapo wote watatiza 6).
Al Ahly na AS Vita washinde game za Simba na Sudan (point 6 kila mmoja).
Simba ashinde mechi ya Sudan pekee.
Vipi hapo?
Ngoja tuone game yao itakavyoisha, hadi sasa 2-2 dakika ya 89Naweka assumptions:
AS Vita ashinde game ya Al Ahy moja na Al Ahly ashinde moja ya AS Vita. (Hapo wote watatiza 6).
FT ASC 2 - 2 ASVNgoja tuone game yao itakavyoisha, hadi sasa 2-2 dakika ya 89
Jina la hawa watu Rage ndio anawajua vizuriKufuzu makundi?????????????
Hivi wewe shabiki wa mpira kweli??
Vita kudraw nyumbuni kwa Al Ahly iwe ni kiashiria cha hatari. Game ya Vita haitakuwa rahisi hata kidogo. El Merreck nao watakuwa na kocha mpya, huenda wakawa na amsha amsha ya aina yake.Matokeo yote yaliyopatikana Misri na Sudan yanamaanisha Simba inapaswa kushinda mechi mbili kati ya tatu zijazo ili kusonga mbele bila kujali timu nyingine zitashinda au laa.
Hakuna namna hii ni ligi ya Mabingwa, Simba lazima tucheze kibingwa ili tusonge mbele.
Simba hailazimiki kushinda zote ili kuingia robo fainali, akishinda na El Mereikh na kisha kutoa sare na Vita, basi Simba ataingia robo fainali. Hesabu ziko hivi: Simba atafikisha point 11, na Vita atafikisha point 11 (hapo tunaasume Vita atawafunga Al Ahly, El Mereikh na sare ya Simba niliyoisema). Simba ikilingana point na Vita atabebwa na kanuni ya Head To Head inayotumika katika mashindano haya, ambapo inaweka wazi kuwa baada ya kulingana points kinachofuata ni kuangalia nani alipata points nyingi kwa mwenzake timu hizo mbili zilipokutana mara mbiliMatokeo yote yaliyopatikana Misri na Sudan yanamaanisha Simba inapaswa kushinda mechi mbili kati ya tatu zijazo ili kusonga mbele bila kujali timu nyingine zitashinda au laa.
Hakuna namna hii ni ligi ya Mabingwa, Simba lazima tucheze kibingwa ili tusonge mbele.
Mechi zote ni www.he'sgoal.comMsaada online kuangalia hii match ?
Simba hailazimiki kushinda zote ili kuingia robo fainali, akishinda na El Mereikh na kisha kutoa sare na Vita, basi Simba ataingia robo fainali. Hesabu ziko hivi: Simba atafikisha point 11, na Vita atafikisha point 11 (hapo tunaasume Vita atawafunga Al Ahly, El Mereikh na sare ya Simba niliyoisema). Simba ikilingana point na Vita atabebwa na kanuni ya Head To Head inayotumika katika mashindano haya, ambapo inaweka wazi kuwa baada ya kulingana points kinachofuata ni kuangalia nani alipata points nyingi kwa mwenzake timu hizo mbili zilipokutana mara mbili
Ndiyo maana nimesema Simba inapaswa kushinda mechi mbili ili iondokane na Utumwa wa kusubiri kuona matokeo ya wengine.Simba hailazimiki kushinda zote ili kuingia robo fainali, akishinda na El Mereikh na kisha kutoa sare na Vita, basi Simba ataingia robo fainali. Hesabu ziko hivi: Simba atafikisha point 11, na Vita atafikisha point 11 (hapo tunaasume Vita atawafunga Al Ahly, El Mereikh na sare ya Simba niliyoisema). Simba ikilingana point na Vita atabebwa na kanuni ya Head To Head inayotumika katika mashindano haya, ambapo inaweka wazi kuwa baada ya kulingana points kinachofuata ni kuangalia nani alipata points nyingi kwa mwenzake timu hizo mbili zilipokutana mara mbili
Na mimi nakukatalia tena, sio lazima kushinda mechi mbili. Ni mechi moja (inaweza kuwa ya El Mereikh au Al Ahly), na sare ya VIta. Halazimiki kushinda mbiliNdiyo maana nimesema Simba inapaswa kushinda mechi mbili ili iondokane na Utumwa wa kusubiri kuona matokeo ya wengine.
Simba inatakiwa icheze Kibingwa ipate ushindi wa 100% kwenye mechi mbili, hilo linawezekana.
Vidimbwi tulieni tunawafanyia mipango na nyie mwakani mpande ndege,ila leo huko Arusha mnapulizwa tenaKutoka kusema Hawa wasudani tunawapiga 4G hadi Kushangilia droo, Simba kwa nini tunawadanganya mashabiki zetu, ama kweli uchawi unaishi
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Au sioVidimbwi tulieni tunawafanyia mipango na nyie mwakani mpande ndege,ila leo huko Arusha mnapulizwa tena